Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
English please please.Bahati yako mbaya, nimetwaliwa na Jane two weeks ago..!
We who do not know English where we comment?
Here here....
Dada sina desturi ya kuponda wanaotafuta wapenzi ila wewe umenivutia kukupondaEnglish please please.
Dada sina desturi ya kuponda wanaotafuta wapenzi ila wewe umenivutia kukuponda
Unatuletea uKenya kitu ambacho tunakipinga, aisee sisi huku HATUKIPENDI KINGEREZA ila wewe unataka kutaghushi tukitumie kwa kuwa tu una mapenzi nacho
Pia kingereza chako duuuhh ni KIIBAYA hakifanani na commands zako
Halafu mimi nimekuponda slightly sana subiri mapovu konki yaje
Best wishes kumpata siriasi, maana mimi siko siriasi
Atakuelewa kweli?
Wazee wa Isokee Isokee hatuhitajiki hapa!
Ooh wivu wa nini tena? Hujui kama haramu kwako ni halali kwa mwenzio?Nina wivu lakini kwa hawa Kaka zangu.....πππ
Niko hapa kwa niaba ya nyie Kaka zangu....
Dada akishakupa tiki...ujue na Bi mkubwa atakubali tu
Ooh wivu wa nini tena? Hujui kama haramu kwako ni halali kwa mwenzio?