I am looking for IT Technician Job

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
167
Reaction score
50
Natafuta kazi ya IT technician nimeitimu kozi yangu katika chuo kikuu dar es salaam (UCC) mwaka 2012 ngazi ya certificate . Natafuta ajira mahali popote panapousiana na computer.
Najua mambo yafuatayo:
1) how to install all operating systems
2) database management
3) internet and computer repair also network

Email: rmwaiseje@gmail.com
phone: +255 789 318187
 


Siku hizi ajira tabu sana, nakushauri wakati unaendelea kutafuta ajira, usikae bure, tafuta dili za hapa na pale, sehemu nzuri pakuanzia ni stationary, pitia stationary moja moja usichoke kabisa hata kama haupati dili la kufanya, usikate tamaa pesa haiji kirahisi, lakini pia usiwe wa bei ya juu. wengi wana install kwa elfu 40, au 30 we piga computa chini kwa buku 10 fresh tu, teka soko, ukipata computa 3 au 4 kwa siku maisha yanaenda fresh, antivirus weka hata kwa buku 5 tu, usi compete ukataka kukomaa elfu 15. sehemu zingine kwenye studio za wapiga picha, unapiga service mdogo mdogo, utapata exposure tu. hata kwenye mahoteli, tembelea usichoke.
kitu kingne ngazi hiyo si umepiga HTML?, bac jiweke vizuri hlf tengeneza website ya kawaida isiwe complicated sn hlf tembelea kwenye maduka ya watu, website inatengenezwa kwa laki 4 na kuendelea we piga hata laki moja, hata elfu 70, na mtu akitaka service ya website kila akikuita akupe elfu 20, nenda kwenye maduka introduce hiyo kitu, maduka makubwa hayana website, mvutie mwenye duka mfano maduka ya simu mwambie faida ya kuwa na website utatangaza zaidi biashara zako utaweka page yako facebook na bei ya bidhaa zako utawarahisishia watu na utaongeza wateja, hamna mtu atakwepa hapo, website hiyo hiyo unabadilisha majina ya maduka tu, zunguka hata hoteli ndogo ndogo piga kazi mdogo wangu jishughulishe. Mungu atakusaidia Insha'Allah.

Kila la heri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…