Mimi nimetunga kitabu ambacho ninataka kuingia katika soko la kimaifa. Kitabu chenyewe ninapanga kiwe na kichwa "chimbuko la imani ".
Nimekitunga kwa Kiswahili hivyo ninatafuta editor na translator anayeweza kukitafsiri katika lugha ya kiingereza. Awe ni mtu ambaye hajalewa imani bali ni mtu ambaye hata nikiandika kuwa imani yake imeanzia katika chanzo kingine tofauti na anachokijua anishauri kutokana na concept yenyewe na sio kuleta ubishi wa kile yeye anachoamini katika kazi yangu.
Ningependa awe na uzoefu wa publishing ili anishauri njia rahisi ya kuwafikia international publishers kupata fare contract.

Tuwasliane mkuu, ndo kazi yangu hiyo.
Nakuona mkuu, kula kichwa hicho...
Au umeshakula kichwa nini? Mi hata hajanitafuta.
AliniPM akaomba namba za simu, ila sijapigiwa hadi sasa. Ngoja niwe na subira...
Labda bado anafanya maamuzi, msubiri tu.
Nimsubiri au tumsubiri, na wewe si umo?
Wewe ndiye kakupm mimi hata bado sijapata hiyo pm.
Huwezi jua, hata kaburini huwa wanatangulia wachimbaji lakini maiti ndio anafukiwa.