I am looking for a geologist

jackson george

Senior Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
107
Reaction score
6
Hey guys!

Hope everyone of you is doing great

I need someone who as a good experience in geology stuff especially the roles of geologist in the road construction i want to know how geologists played his/her role in the road construction

please DM me use my WhatsApp number to contact me,,0764315834..
 

Swahili please!! hicho ulichoandika hata malkia hawezi kukuelewa
 
Tunacho fanya ni:
- kuangalia stability ya eneo kwa kuangala core samples ambazo zitakuwa drilled mahali husika, umuhim wa hili ni kuwezesha kujua durability ya hiyo engineering structure,
- pia geologist tunatumika kusahidia kujua ugumu wowote unaoweza kupatikana wakati wa construction project kwa mfano kama itagundulika eneo ni gumu basi hatua muhimu ya kuandaa vifaa mahususi itachukuliwa
- usalama ni mhimu ktk engineering constructions, hivyo safety, practical and suitable economical designing itafanyika.

Kubwa ni kufanya geotechnical investigation, inabeba vitu vyote hapo juu
 
Unaweza pia kumtafuta Prof. Muhongo ! Anajua Geology kuliko Mtanzania mwingine yeyote !
 
No Swahili, No service!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…