St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Thread ya kipuuzi kabisa hii.Leo nimepita mitaa ya Posta nikasimamishwa na traffic mmoja walikuwa wapo kama 4. Huyu mmoja akaniuliza naelekea wapi? Nikamwabia naelekea Jangwani kuna mtu namfata akaniomba nimpakie na nimshushe mitaa ya Fire. Sasa mimi gari yangu sipendi kushusha vioo lakini huyu bwana mkubwa kuingia tu kashusha vioo na kuweka mkono wake kwenye mlango. Nikamuuliza vipi mzee hupendi a/c au? Alijibu aahhh kumbe umewasha a/c samahani ndugu. Hafla sura yangu ilijaa ile mistari kwenye uso kama mzee wa miaka 60, na kutafakari hii harufu inatokea wapi. Ilinibidi nimuulize vipi mkuu umepitiwa na haja(umepufff) au? Huku nae alianza kufunga pua akizania mimi ndio nimeachia mzinga wa nuklia. Kuangalia pembeni yetu kumbe lilikuwepo gari la maji taka(gari la kusafisha vyoo). Tukabaki kucheka tu huku mimi nikimwambia nilizania yeye na yeye akisema alizania mie.😀😀😀😀
Ilikuwa ni taarifa kuwa mjomba kamfundisha kudrive sasa baada ya kumtunzia kuku kwa miaka 3 tangu atoke kijijini.Kiukwel sijaelewa lengo la hii thread.Kwanza sijaelew umechekeshwaje hapo!!Yan kumdhania traffic kupumua ndo kichekesho?
haaaaa,kipepsi tena!Kwahiyo vioo mlifunga au aliendelea kuweka ki pepsi nje? Na km mlifunga hiyo harufu ilipitia wapi?
Yap nilivifunga mkuu harufu inaingia hata kama vioo na a/c ikiwa inafanya kazi.Kwahiyo vioo mlifunga au aliendelea kuweka ki pepsi nje? Na km mlifunga hiyo harufu ilipitia wapi?
Lengo kuwa kila mmoja akidhania mwenzie ndio kajamba mkuu. Kumbe harufu inatoka kwenye maji taka.Kiukwel sijaelewa lengo la hii thread.Kwanza sijaelew umechekeshwaje hapo!!Yan kumdhania traffic kupumua ndo kichekesho?
Uwongo njoo [emoji12]hadithi njoo
Duh mkuu una roho nyepesi wewe[emoji12]BAN inahusika
Thread ya kipuuzi kabisa hii.