Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 3,682 12,371 Jan 16, 2024 #1 Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa". Umegundua nini kwenye hii picha?
Waswahili wanamsemo wao unaosema "unaopoona unaitiwa fursa basi tambua kuwa wewe ni fursa". Umegundua nini kwenye hii picha?
hydroxo JF-Expert Member Oct 19, 2015 2,836 5,689 Jan 16, 2024 #2 Ana miaka 2 kashindwa hata kufikisha 8 views. Cha ajabu anawafundisha watu kufikisha 1 million views in just 3 days!
Ana miaka 2 kashindwa hata kufikisha 8 views. Cha ajabu anawafundisha watu kufikisha 1 million views in just 3 days!