Huyu ndio kocha bora!

Mi hadi sasa hivi sielewi huu ubingwa wa msimu huu wamechukuaje
Wamekusanya points nyingi zaidi ya wote. As simple as that. Fooball raha sana na hesabu siku zote huwa hazidanganyi.

Wakati Barca anazimishwa na kulazimishwa sare, hawa walikuwa wanagrind results hata kwenye mechi ambazo waliperform below par. Mechi zilizoanza baada ya lockdown, hawa jamaa wamekusanya points 30 out of 30. Hii sio fluke
 
Na mtaarifu korona imesepa na makali ya Samata, jamaa baada ya lockdown kapoteana kabisaaaa kapiga dakika zaidi ya 700 bila goli!
Tumuombee Samagoli asishuke daraja aisee!
 
Tumuombee Samagoli asishuke daraja aisee!
Ashuke tu, hajui mpira yule sema ana bahati tu. Kwa bongo simpi nafasi kubwa. Kwangu Mimi Ni Simon msuva akifatiwa na Mohamed Hussein, siyo samatta.
 
Ashuke tu, hajui mpira yule sema ana bahati tu. Kwa bongo simpi nafasi kubwa. Kwangu Mimi Ni Simon msuva akifatiwa na Mohamed Hussein, siyo samatta.
Sema kwa sauti ya chini! ALIPOFIKA NI WACHACHE SANA na rekodi zinaongea zenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…