Wamechoshwa kupelekwa kwa waganga na watawala,
hivyo nao wanahitaji mabadiliko walau watimize siku zao.
Wanyama wanalia,albino wanalia,viongozi wakuu wanalia bungeni
hakuna wa kumwokoa mwenzie chini ya uongozi uliopo,
kila mtu amechoka ,sasa na wanyama pia
imebaki siku moja hata jogoo watawika "peopleeeees"