Niambie Tu
Senior Member
- May 29, 2022
- 198
- 363
Huyu napgia chini ngoja niweke vitu sawa.Huwo mtihani haswa, bora talaka kuliko kukaa na mtu mwenye kisirani cha kununa, halafu ni maisha yako yanendelea kutumika kwa hali hiyo. Muachie nyumba nenda machimboni huko.
Haina kujipa stressUlizaliwa mwenyewe utakufa mwenywwe
Tuna mtoto mmoja Nina miaka mitatu.Pole
Kwanza umekaa nae miaka mingapi, mna watoto.. Maana kuna mengine yanakujaga na ku hitaji msaada kisaikolojia.
Kaa nae chini ujue sababu haswaa, natumaini hauchepuki na amekudakua.
Au labda mchoyoooo
Pole sana mkuu.Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.
Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.
Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Tuna mtoto mmoja Nina miaka mitatu.
Yupo hivi Kwa kipindi kirefu sio mtu mkaa ukafurahia nae maisha .
Kuna muda amekuwa akinikasirikia maana Mimi ni mtu wa watu so uwa ninafurahia maisha na watu na kucheka hata Kwa simu.
Ila yeye ukiwa nae ndani ananuna nuna muda wote.
Wiki hii nimetoka kugombana nae baada ya kuwanunia majirani ninapokaa nao ambao wamekuwa msaada muda mwingi hata mtoto akizidiwa usiku.
Kiukweli Mungu anitie nguvu ila kuishi na kumbe mwanamke nadhani sio kalama ya mtu yoyote hapa Duniani.
Wakati wa uchumba hali ilikuwaje ?Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.
Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.
Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.
Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
UpiWasiwasi Wako Tu.....
Hakupi Sasa.Kununa Nina kwa mwanamke ni kutaka mashine ,Joto limezidi mwilini linapelekea kununa , uwe unapiga mashine mara kwa mara atapoa tu
Alikuwa vizuri tu amebadilika ghafla tuWakati wa uchumba hali ilikuwaje ?
Najitahidi sana ila habadiliki