fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Ahame nyumba kwa maana aachane na mkewe hata baada ya kusamehewa mara ya pili alipofumaniwa?Jamaa ahame nyumba maana atakuja kuuawa!!
kuna mawili
mama anaye anayempoonza machungu yake au hawa ni wale siku vikilipuka anatenganisha mapu****** na mwili
hapo kuna walakin, isije akawa analiwa timing...
Ila kweli kuna wanaume ambao wana roho za chuma,hata umbebe,he will never get satisfied!.hapo huyo mwanamke anaeza kua amepoteza matumaini ya kuwa na true happiness,anaishi ili tu siku ziende mbele..mi hii kwangu ni uuaji,kabisa,kwasababu sio lazima mtu akuue kwa risasi,thats internal death!..Mungu amsaidie atambue thamani yake mbele ya Mungu na sio wanadamu..ila kama yuko kwenye harakat ya kisasi then Mungu pia amsaidie asifanye hivyo.
hii nimeichukulia kama tafakari tu.wala tusimlaumu huyo mume tu.kwani kuna kisa nathibitisha kuwa mke kamfumania mumewe na wakapelekana kwa wazee wa kijiji..swala lilipotatuliwa wakarudia hali ya kawaida.mume kaamua kutulia kabisa kutokana na aibu aliopata kwa kikao cha wazee.miaka haikusonga mume nae kamfumania mke huyo huyo aliemshtaki kwa wazee.kwa busara mume kaamua kuuchuna kwa kuwa aibu tayari alishaipata..mkewe alisubiri apelelekwe kwa wazee kwa mashtaka ila siku zikawa wiki hadi mwezi wala mume hamgombanizi..alichofanya mkewe ni kutwika mizigo yake na kwenda kwao.sijui ni hofu ama ni guilty feeling wasemavyo wenzetu iliomkimbiza.