Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,772
Hahahahaha jamani,but ndo umeshaajua hata mtu akikuita msupuu,hutoshtuka
msupu ni jina lingine tena la mwanamke eeh!!!!
tupia link ya nyimbo hiyo!!!
ehuuuu bora make ningezichapa kwa kudhani nimeitwa "supu"
Yap .... msupuu
tupia link ya nyimbo hiyo!!!
ana wimbo unaitwa posa ya bolingo.yaelekea ni mutu ya congo
mirungi ipi ?
Kumbe unasaga gomba!!kumbe yupo kenya, niagizie mirungi....
Ana kichwa ka kona ya scania huyo msupu!
ngatara kikwetu ukinga ni kisichonufaisha. sasa sijui na kwenu ni hivyo hivyo?
Hahahaha si kweli, kama ni hivyo asingeacha nywele fupi
Ana kichwa ka kona ya scania huyo msupu!
Kumbe unasaga gomba!!
Ana kichwa ka kona ya scania huyo msupu!
Msupuu ni mwanamke,smart,mrembo,mzuri ndo msupuu,utasikia wanasema mekutana na manzii ako msupuu!
sana tu.....