Kenya hawajambo mkuu
Nimechekaje ha ha hamsupu ni jina lingine tena la mwanamke eeh!!!!
msupu ni jina lingine tena la mwanamke eeh!!!!
kumbe yupo kenya, niagizie mirungi....
Nimechekaje ha ha ha
Msupuu ni mwanamke,smart,mrembo,mzuri ndo msupuu,utasikia wanasema mekutana na manzii ako msupuu!
ngatara kikwetu ukinga ni kisichonufaisha. sasa sijui na kwenu ni hivyo hivyo?
kumbe yupo kenya, niagizie mirungi....
Umeelezea vizuri kabisa, kula gwala
We unakula mirungi unaendesha magari ya safari ndefu nini??
Msupuu ni mwanamke,smart,mrembo,mzuri ndo msupuu,utasikia wanasema mekutana na manzii ako msupuu!
ndio mkuu mwanza zambia, sahv nimefika manyoni
Daaah kitambo sana niko mbali na tv kozi Niko busy kiasi chake, lately nimejikuta niko free hivyo nimepata nafasi ya kutazama tv na ndio hapo nikamkodolea mijicho msupu mmoja akiimba na Juliana Kanyomozi wakuitwa Alocius, ebwanaeeeh amenirock ni she!!!? Wimbo unaitwa mpita njia, a very nice song
kumbe! hata nlikuwa sijui huku kwetu tambaautwike tunajua jina moja tu dem...
Utakuwa basi umepigwa pasi huko ukanda wa Gaza