Hii ndio kazi ya mulugo,mulugo popote ulipo ulaaniwe,katuharibia watoto ona wanavyooandika utafikiri mtu mwenye kigugumizi anaongea na huyu yawezekana kamaliza kidato cha sita.
hamuendani tupa kule... utamuumiza tu.kina watu wako hivyo co kua wanajifanyisha. km unampenda jifunze kubembeleza na kutunga uongo ili asikasirike kmhiyo jana ungemwambia "sor beb ckua na bando nakutumia sasa hiv mke wangu! cjui km angenuna.
UYU demu Yani Nipo nae kwa miezi 4 sasa tatizo Ana penda kununa na kuka silika kwa vitu vidogo yan mpaka nakeleka yan Ana weza ku nuna kwa kitu Ambacho akina ATA msingi tatizo kinacho nishinda mmuwa sipendi kubembeleza kabisa ...
Sasa Jana kanuna kisa eti ali taka nimtumie picha Yangu mm nika mwambia niko bize alafu nili kuwa niko nje ya mji si ndo aka nuna bana mm nika delete namba yake SASA NATAKA NIONE ATA NUNA MPAKA LINI NIONE UO MCWAKE UTAISHIA WAPI TOKA JANA MPKA LEOHAJA TUMA MSG NA MM NDO NIME DELETE NAMBA YAKE ILI NISI FIKILIE ATA KUMTAFUTA....nazani kwa hii staili ata jifunza kitu