EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,265 Reaction score 20,869 Dec 2, 2025 #21 Sass unachokiombea ushauri hapo ni nini yaani unataka kutumia akili zetu wakati na wewe una za kwako
Sitakuumiza Kamwe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2025 Posts 466 Reaction score 1,455 Dec 2, 2025 #22 Another Popoma in da hausi 🚮
Choosen85 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,303 Reaction score 5,568 Dec 2, 2025 Thread starter #23 Kodo dyako said: Nyie hamjakielewa hiki kijamaa..kinataka tutie neno kua demu anakipenda..ili ki justify kumla..acha tamaa fanya biashara Click to expand... aaahaaaha ila mkuu bhana haya wacha nipambane na biashara nakubali sana.
Kodo dyako said: Nyie hamjakielewa hiki kijamaa..kinataka tutie neno kua demu anakipenda..ili ki justify kumla..acha tamaa fanya biashara Click to expand... aaahaaaha ila mkuu bhana haya wacha nipambane na biashara nakubali sana.