Huyu hatofautiani na yule

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
284
Reaction score
401
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na yule kabisa kuhusu demokrasia;ameruhusu watu waongee na kujadili na hata kukosoa;ingawa hata ukosoaji yeye anautafsiri kama ni matusi na wale wanaokosoa wanatishwa au wanapotea katika mazingira ya kutatanisha.

Yule alizuia kabisa hata kukutana;kwa hiyo ni wazi kwamba hawana tofauti yoyote
 
Tatizo kubwa ni CCM sio huyu wala yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…