Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 4,267
- 10,272
ni daktari wa dini, siku hizi watu wanajipa udaktari wa kipuuzi hata bila mtu kusoma na akafanye thesis na analysis atoe jaridida la utafiti wake. Huyu jamaa ni mlevi fulani wa dini, muongomuongo na mjanjajanja ili apate mkate wa kuendesha maisha yake toka kwa nyumbu wasiolewa mambo ya diniPalikuwa na ubwabwa wakati anahojiwa?
Ni Daktari wa nini kwanza huyo?
Sulle yupo sahihi,Uislam ni wajuzi juzi huo ni mtazamo wako binafsi sio uhalisi.Na ufahamu wake ajui kama uislamu ni wajuzi juzi hata kiumli,
kwa hiyo uislamu ulikujaje wakati mtume kaja juzi .kama sio wa juzi mbona una mkubari mtume na sio manabii wengine wa nyuma ambao wangetumia uislamu kuonekana wazamaniSulle yupo sahihi,Uislam ni wajuzi juzi huo ni mtazamo wako binafsi sio uhalisi.