joseph1980
New Member
- Aug 21, 2009
- 2
- 0
Kimeoooooooo
Ila mmege once ili kuondoa machungu na kumpotezea ili abaki kuangaika.
Hivi wakuu minimum ni siku ngapi ukimpenda demu ndo "Ukandamize" maana hapa naona hoja hapa ni "kula uroda" na sio kupendana....haya ni mawazo yangu tuu!!wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa mpaka umstukize alipo,nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja.
nikijaribu kukaa kuimya anabieep mpaka umpigie.last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.
lol umenichekesha vya kutosha miezi mitano ni muda mfupi sana kumjua mtu ,mpe muda ...kwani unataka uhusiano gani kwake
1. kula tundi na kukata kona
2. Future gal
3. Unatest zali
Or??
lol umenichekesha vya kutosha miezi mitano ni muda mfupi sana kumjua mtu ,mpe muda ...kwani unataka uhusiano gani kwake
1. kula tundi na kukata kona
2. Future gal
3. Unatest zali
Or??
Hivi wakuu minimum ni siku ngapi ukimpenda demu ndo "Ukandamize" maana hapa naona hoja hapa ni "kula uroda" na sio kupendana....haya ni mawazo yangu tuu!!
Hivi wakuu minimum ni siku ngapi ukimpenda demu ndo "Ukandamize" maana hapa naona hoja hapa ni "kula uroda" na sio kupendana....haya ni mawazo yangu tuu!!
Bila hata kuuliza: Number 1: Kula tundi na kukata kona. I can swear.
Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?
he he he makubwa haya, a week!!!!
Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?
Yeah! a week! Kama wife nilimsarandia kwa only 3 months, hawa wa kuhit and run kwanini wanimalizie wiki nzima?