masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Tunaposhauri wagombea wapimwe akili huwa mnatuona hatuna akili, nasikia eti naye alichukua fomu ya urais kwa chama pendwa, je kwa bahati mbaya angeteuliwa na kushinda ingekuwaje.Gazeti la leo Mwananchi pg 3, limemnukuu Katibu Tawala Wilaya ya Monduli, Ndg Robert Siyantemi "akishauri" utafiti wa kisayansi ufanyike kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu wenye mafungufu!
Hapo nimechoka!!
Maswali kadhaa yananijia kichwani, je kasoma biolojia ya msingi, form 1 hadi 4?
Au alisoma tu masomo ya biashara?
Hili aliliongelea mbele ya wadau wa afya mkoani Arusha, je hana washauri?
Kidogo mtu mwenye madaraka kuongea mambo asiyo yajua, ni kuji expose ujinga hadharani.
DAS Monduli, pole!
Mkuu watu wanafikiri kuwa na Phd ni kufahamu kila kitu, la hasha.Hii serekali yote kuanzia juu hadi chini ina watu wenye uelewa wa ajabu Mno!!! Kama mtu aliesoma uchumi kwa ngazi ya PhD hajui VAT inalipwa na nani, na kama mtu Mwenye PhD hajui Sadam Hussein alikuwa raisi wa nchi gani au wananchi wakipata janga la tetemeko sehemu nyingine huwa wanapewa msaada unategemea huyo ambaye hata elimu yake haijulikani ajue chochote kweli!!! Itakuwa tunamuona.
Gazeti la leo Mwananchi pg 3, limemnukuu Katibu Tawala Wilaya ya Monduli, Ndg Robert Siyantemi "akishauri" utafiti wa kisayansi ufanyike kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu wenye mafungufu!
Hapo nimechoka!!
Maswali kadhaa yananijia kichwani, je kasoma biolojia ya msingi, form 1 hadi 4?
Au alisoma tu masomo ya biashara?
Hili aliliongelea mbele ya wadau wa afya mkoani Arusha, je hana washauri?
Kidogo mtu mwenye madaraka kuongea mambo asiyo yajua, ni kuji expose ujinga hadharani.
DAS Monduli, pole!
Mkuu watu wanafikiri kuwa na Phd ni kufahamu kila kitu, la hasha.
PhD ni streamlining of knowledge on to a very particular field.
Mtu anasomea na kutafiti kitukidogo na kwa undani Zaidi.
Na si kila kitu.
Kulingana na uelewa, hatua ya kisayansi na maendeleo yetu, technologia tuliyonayo, research outlay and funding, one might as well be asking for the moon!!ndiyo maana ameshauri utafiti wa kisayanzi ufanyike!!!
Kwa taarifa tu ni kwamba kuna habari kuwa utafiti unaendelea ili figo za wanyama ziweze kutumika kwa binadamu
angalia utafiti huu Researchers investigate use of pig kidneys for human transplant
Mkuu hilo ni kosa, kuna katabia kuona na kuhisi kwamba mtu aliye na PhD anajua kila kitu.Je hao wenye hizo PhD wanaamini hili unaloamini ww?
mimi mwenyewe na mshangaa anaye mshanga huyo kiumbe.Sasa kama ni wa CCM unashangaa nini nawewe?