Huwezi kuboresha Usichopima !!!

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Huwezi kuboresha usichopima! πŸ’‘

Moja ya changamoto kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku ni kutokuweka kumbukumbu sahihi. Unanunua chakula kila wiki, unauza mayai kila siku, na unachoma chanjo mara kwa mara lakini unajua kweli kama unapata faida au hasara? πŸ€”

Hapo ndipo Fuga App inapokuja kutoa msaada! πŸ“±
Kupitia Fuga, unaweza kuweka kumbukumbu za kila matumizi kuanzia gharama za chakula, dawa, hadi mauzo yako ya kila siku. App inakusaidia kuona kama unapata faida au hasara, na hivyo kukupa mwongozo wa kuboresha zaidi bila kubashiri!

Kuweka kumbukumbu nzuri kunakusaidia:
βœ… Kujua kama biashara yako inakuletea faida au hasara
βœ… Kupanga bajeti vizuri kwa chakula na dawa
βœ… Kugundua changamoto mapema na kuchukua hatua
βœ… Kujenga biashara endelevu ya ufugaji

Kumbuka, namba hazidanganyi zinakuongoza!
Update toleo jipya la Fuga App (v2) lenye muonekano bora zaidi na ripoti ya faida/hasara ili utupe mrejesho wa maboresho zaidi. πŸš€

πŸ“² Pakua sasa hapa: Fuga - Apps on Google Play
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…