Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
- Thread starter
-
- #21
Alisikika mmiliki mmoja wa tecno W3 akiongea kwa hisia kali.Mfalme Suleiman na fahari zake zote
Ilifikia kipindi akayaona yote aliyokuwa akiyafanya ni ubatili.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Siyo iphone 6 tu, tecno ni bora kuliko iphone za matoleo yote. ππππIla bora Tecno kuliko iPhone 6
Tecno hana mpinzani auntie, tukae kwa kutulia.Auntie yangu tubaki hapahapa kwenye tecno yetu
Tena atuache kabisa na tecno zetuTecno hana mpinzani auntie, tukae kwa kutulia.
Siwasemi vibaya watumiaji wa tecno ila kuweni makini aisee... Unaweza ukawa umeiweka mfukoni kumbe yenyewe umeshaingia whatsapp imefungua chatting zako na mchepuko, ime-screenshot na kuzituma kwa wife huku ikiambatanisha na ujumbe usemao.."upo nyonyo...!" then inajizima. Unarudi home unashangaa wife anakutoa nduki na mwiko wa ugali unabaki huelewi nini kimetokea....
Et wanasema ni kitunza line tu siyo cm kweli?Kwahiyo mkuu unatushauri vipi sisi tunaotumia tecno
Itel yang haijawahi fanya ujinga Kama wa tecnoTEKNO ndio ITEL ndio INFINIX ni baba mmoja na mama mmoja sasa NI BORA TECNO kuliko ITEL
Aiseee.....ππππEt wanasema ni kitunza line tu siyo cm kweli?