Tamu za numbieInashangaza
Umeona eeh? Kwamba mimi sili na wewe usile. Siyo kwamba anafunga kwa ibada ya roho yake. Mbona Hyatt hotel ni ya muarabu na serena hotel ni ya mpakistani ila msosi upo mda wote na futari ipo jioni pia. I'm sure ukienda Dubai mchana huu hukosu msosi.Kuna kundi kubwa sana watu hawajui kwanini WANAFUNGA, ila kwakuwa umefika mwezi wa Kufunga basi wanafunga tu kufata Mkumbo
Waliowengi wanafunga Kula, mtu aliefunga Kula hawezi kuvumilia kukuona wewe unakula kisha akaendelea kuact Normal mbele yako
Ndomana kuna sehemu watu wakionekana wanakula wanapigwa/kuchapwa fimbo,kufokewa,kudhihakiwa na mambo mengine ambayo sio ya kistaarabu
Nadhani viongozi wetu wa Dini zetu wangewekeza nguvu kubwa kwenye kuelimisha watu kwanini wanatakiwa Kufunga
Tofauti na hapo tutakuwa na kundi kubwa la watu wanaoshinda na Njaa ila sio kundi kubwa la wafungaji
Kuna siku nilienda kununua samaki kwa mama wa kisabato akaniambia samaki wapo lakini leo ni sabatoWasabato hao hata ukimpelekea deni lake hachukui siku ya sabato.....
Mambo mengine ya kishamba tu kila mtu na utala tibu wakeNi kweli kwamba kila mwenye biashara yake ana imani zake za kidini ila sasa wateja mbona ni wa dini zote.
Iweje biashara zako zinahudumia dini zote alafu leo umeamua kisa una mfungo ndo ufunge hadi biashara? Mteja anataka akakae zake ndani ale ice cream na laptop yake unatoa maagizo hakuna mteja kukaa ndani viti viko juu ya meza.
Hatukatai wew una dini yako ila wateja wako siyo wa dini yako tu, kila mtu ana imani yake kama kafunga atafunga, ambaye hajafunga muache aendelee na huduma. Kumbuka biashara yako imejengwa na wateja wa imani zote hadi kukufikisha hapo ulipofika usitake kufosi imani zako kwa wateja wako wengine.
Sasa hii shida gani ukipita kariakoo migahawa kibao imefungwa, au basi na sisi wa imani zingine tususie biashara zenu mkimaliza kufunga muendelee kuuza futari hizohizo tuone.
Zanzibar huo ni utaratibu wao utawalaumu bule kariakoo kuna migahawa iko wazi ujazuiwa kwenda kulaKuna kundi kubwa sana watu hawajui kwanini WANAFUNGA, ila kwakuwa umefika mwezi wa Kufunga basi wanafunga tu kufata Mkumbo
Waliowengi wanafunga Kula, mtu aliefunga Kula hawezi kuvumilia kukuona wewe unakula kisha akaendelea kuact Normal mbele yako
Ndomana kuna sehemu watu wakionekana wanakula wanapigwa/kuchapwa fimbo,kufokewa,kudhihakiwa na mambo mengine ambayo sio ya kistaarabu
Nadhani viongozi wetu wa Dini zetu wangewekeza nguvu kubwa kwenye kuelimisha watu kwanini wanatakiwa Kufunga
Tofauti na hapo tutakuwa na kundi kubwa la watu wanaoshinda na Njaa ila sio kundi kubwa la wafungaji
Kila mtu na utala tibu wake wa maisha siku j2 wakina msalaba wafunga biashara wazo wanapumzika mbona hakuna lawama na j mosiUmeona eeh? Kwamba mimi sili na wewe usile. Siyo kwamba anafunga kwa ibada ya roho yake. Mbona Hyatt hotel ni ya muarabu na serena hotel ni ya mpakistani ila msosi upo mda wote na futari ipo jioni pia. I'm sure ukienda Dubai mchana huu hukosu msosi.
Niutalatibu wakeKuna siku nilienda kununua samaki kwa mama wa kisabato akaniambia samaki wapo lakini leo ni sabato
Kufunga kwenda kusali/kuswali jpili au ijumaa siyo shida. Unafunga mwezi mzima kisa mfungo?Kila mtu na utala tibu wake wa maisha siku j2 wakina msalaba wafunga biashara wazo wanapumzika mbona hakuna lawama na j mosi
Hujajua muda wa kufungua biashara na kufunga biashara! Jumapili ni mtu kaenda kusali kama ijumaa mtu anavyoenda kuswali na kurudi kazini, huyo anayezungimziwa kafunga biashara kabisa. Sababu ya kufunga biashara ukimuuliza kama anijua vizuri hatokupa jibu sahihi!Kila mtu na utala tibu wake wa maisha siku j2 wakina msalaba wafunga biashara wazo wanapumzika mbona hakuna lawama na j mosi
Utaratibu wapi acha kupaparukia dini kuliko hata waliokileteaNiutalatibu wake