Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi diploma.
Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi diploma.
Nadhani huyu ni saizi yangu mimi wa darasa la seven. Nimesubiri muda mrefu na kila aliyepatikana alitaka wasomi wa kuanzia digrii moja. Bahati iliyoje hii!! Mwambie ndugu yako akitaka tufunge ndoa hata leo niko tayari kabisaa.