Safi sana! Laurence Masha awe Katibu Mwenezi, Makongoro Mahanga awe mkurugenzi wa Ulinzi!Mi nashauri Zitto Kabwe aandaliwe kuwa mgombea urais wa Ukawa mwaka 2020.. Mheshimiwa Lowasa abaki kuwa mshauri ,aungane na akina Sumaye,Mtei na Kingunge
Kwa kuwa mgombea wetu mpendwa Mh Lowasa kashindwa kuupata urais na hivyo kushindwa kuiongoza nchi, CHADEMA tusiipoteze nafasi hiyo adimu ya kumpata kiongozi mwanamabadiliko kama Lowasa.
Kama alifaa kuliongoza taifa zima nadhani kukaongoza kachama ketu kwake itakuwa uji tu. Kwa jinsi ileile mlivyotuaminisha anafaa kuiongoza nchi, kamati kuu ituaminishe kuwa haikuwa inatuingiza chaka kwa kumteua kuwa Mwenyekiti au katibu mkuu wa CHADEMA.
Lowasaaaaaaaa!!! Mabadilikoooooooo!

Hapa tupo pamoja kabisa,Lowasa anafaa kuiongoza chadema,anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema taifa.
lowasa akiwa mwenyekiti chadema itakufa?!Maajabu leo umekuwa mshauri wa CDM wakati mada zako nyingi ni kuwananga viongozi wa CDM mmejipanga kuhakikisha cdm inakufa ili muibe vizuri rasmaliza Watz maana kikwazo chenu ni cdm
Mbona umemsahau kingunge!Safi sana! Laurence Masha awe Katibu Mwenezi, Makongoro Mahanga awe mkurugenzi wa Ulinzi!
Mi nashauri Zitto Kabwe aandaliwe kuwa mgombea urais wa Ukawa mwaka 2020.. Mheshimiwa Lowasa abaki kuwa mshauri ,aungane na akina Sumaye,Mtei na Kingunge