Genital warts
Wanasababishwa na Human Papillomavirus. (HPV) unaweza kusoma online.
Kikubwa nenda hospital daktari atakuandikia dawa sema dawa zake sometimes shida mpaka uende Hindu Mandal kwenye maabara yao huko town.
Hongera sana mkuu,
Sasa unaanza upya maisha,nenda hospital ukatibiwe genital warts,na baada ya hapo kuwa mwangalifu na wenza wako wa mahusiano ya kwichikwichi.
Ngono si salama tena zama hizi kwa sababu huwezi jiachia na ngono bila ya kujiachia haina raha ,ni kama vile unapiga puchu