Pole sana Na mpe pole huyo Dada ,pia kumbuka kumtia moyo kumpa.ushauri wa kupumzika Na kufanya yale anayoyapenda,jitahidi kuwa nae karibu sana toa muda wako mwingi ikiwezekana kuwa naye,mshauri.kuhusu kufanya ibada kwa imani yake,anywe maji mengi.
Unapoamua kuongea nae kuhusu kupima Afya uwe mwangalifu sana tumia lugha itakayomfanya aone umuhimu wa kupima sio kama unahisi chochote...Mungu awasaidie,maana kwa Mungu hakuna linakoshindikana.