Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
asante kutuambia ila wanaume type yako muache kulalamika
hapo ukutwe umeombwa credit tu basi ushaanzisha thread duh
upeo wako wakufikiria mambo bado sana.
Mke mwema anatoka kwa Bwana kijana ila mume mwema anatoka CRDB,NMB,Stanbic,standard chartered,M-pesa n.k. km vp jivue gamba,they are almost everywhere co lazima awe yeyeDah!my love huyu,sijui anafikiri kwenye oblongata yake mimi nina bustani ya miti ya pesa?au nimemzoesha vibaya?anway it is called life and sometimes it may happen.Eti naomba mnijuze,kujali maana yake nini?au ndo kutoa mihela kila kukicha?kama ndo hivi,i have to give up.Kwanini wanawake hamliziki?Keep on your minds that a b/friend or husband is not an ATM machine.Jaribu kujishtukia basi,kuweni na aibu.Msiendekeze shida ninyi wanawake la sivyo,u gonna face the music na tamaa zenu za hela,kumbuka hakuna cha bure.Uongwe magari,hata uongwe bahari,kumbuka utailipia tu.Hakuna kitu cha bure.
usilalamike sana bana unatuaibisha wanaume wenzioDah!my love huyu,sijui anafikiri kwenye oblongata yake mimi nina bustani ya miti ya pesa?au nimemzoesha vibaya?anway it is called life and sometimes it may happen.Eti naomba mnijuze,kujali maana yake nini?au ndo kutoa mihela kila kukicha?kama ndo hivi,i have to give up.Kwanini wanawake hamliziki?Keep on your minds that a b/friend or husband is not an ATM machine.Jaribu kujishtukia basi,kuweni na aibu.Msiendekeze shida ninyi wanawake la sivyo,u gonna face the music na tamaa zenu za hela,kumbuka hakuna cha bure.Uongwe magari,hata uongwe bahari,kumbuka utailipia tu.Hakuna kitu cha bure.
kumbe unajua kama hakuna kitu cha bure eeh? haya utoe pesa sasa kulipia huduma uliyokwisha pewa.Dah!my love huyu,sijui anafikiri kwenye oblongata yake mimi nina bustani ya miti ya pesa?au nimemzoesha vibaya?anway it is called life and sometimes it may happen.Eti naomba mnijuze,kujali maana yake nini?au ndo kutoa mihela kila kukicha?kama ndo hivi,i have to give up.Kwanini wanawake hamliziki?Keep on your minds that a b/friend or husband is not an ATM machine.Jaribu kujishtukia basi,kuweni na aibu.Msiendekeze shida ninyi wanawake la sivyo,u gonna face the music na tamaa zenu za hela,kumbuka hakuna cha bure.Uongwe magari,hata uongwe bahari,kumbuka utailipia tu.Hakuna kitu cha bure.
usilalamike sana bana unatuaibisha wanaume wenzio