MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Si niko hapa mumeoI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Peponi hata wale bikra tutakaopewa wanaume hutogusa kabisa?mimi team Nyeto, nitoe hapo chap
Kwahiyo binti wa watu ndio afe single kweli?Hao hawaoi
Mie sio Mungu wakeKwahiyo binti wa watu ndio afe single kweli?
hahaha, nitawagusa tena kwa hasira sanaPeponi hata wale bikra tutakaopewa wanaume hutogusa kabisa?
Anafahamu shughuli za watu wasio wanene wenye kilo hizo🤣,chini or juu ya hapo anahofia..Wakuu mkapime uzito kama kweli mnakubalika, yaani uzito ni moja ya vigezo😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]K
Kuna mwenzako alipost hapa anatafuta mke
Tafuta huo uzi malizana nae
Unamaanisha ni unique flower au?Kwann usije na id yako ya siku zote?
Na body count yako ikoje?
Jamii ya wahuni hii mzee unatakiwa kukaa chonjo sanaaNitajuaje sasa mkuu! Anaweza kuwa hata dume huyu jf bana 😆🤣🤣🤣
😂 😂 😂 😂 😂Hiv vigezo utafikiri unaenda kulipwa pesa ukiwa navyo kwa mujibu wa mtoa tangazo kumbe unatakiwa ukawe unam finance!!
Age miaka 50, devorced, 2 daughters, anaishi nje ya nchi, financially stable +++, very polite and hamble. Hapo je?I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Nina 40,sijaoa,watoto wawili, muislam swala tano, bachelor economics,financially stable,nipo darI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Awe mpenzi wa YangaNaona sisi wababe hatutakiwi, unataka mwanaume wa kumpelekesha
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Hahahaha, wanachagua sana hao ,ukiwakuta mtaaniDah! Wana-ume wamekuwa adimu kweli. Mdada na degree yake na Miaka yoote 29 hajawahi kuona au kukutana na WA kumfaa. Tumaini Sasa limebaki mtandaoni!!