Aganza Maisha
Senior Member
- Jul 7, 2019
- 146
- 427
Kila la kheri.I have just turned 29 , Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi , siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye,
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam. Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Mwal wa mathe hapa ni wapiii Certified HaterUsiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Kuna mwenzako alipost hapa anatafuta mkeI have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Vigezo vyote nnavyo,, lakin pia Mimi nna vigezo vyangu vp ww uko stable financially? Hlo ndo muhim 50/50I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary lakini, I am looking for someone to wifey me. I don't have a kid yet. Napatikana Dar es Salaam.
Natafuta ready to settle man. Mtu aliye tayari to wed. Siyo sogea tuishi.
Sifa za mtu nimtafutaye:
A man that can handle a family. Meaning financially stable.
Mwanaume ambaye ni mtulivu wa nafsi, asiye na hasira na ugomvi. Umri 30-39.
Awe mkristo RC itapendeza zaidi. Asiwe mbabe. Ambaye ataniheshimu pia. Uwe unaishi Dar es salaam.
Usiwe sharobaro wala Brother men. Usiwe wa mjini sana na Wala usiwe muongeaji sana. Because siwezi watu waongeaji. Uwe mpole. Because Mimi ni mtu calm. Uwe umesoma angalau. Usiwe bonge please uzito wako uwe around 70's. Or 60's.
Karibu PM.
Oa tu utajiendeleza ukiwa ndoani shemejiKukosa elimu kumeninyima mke,ooh my God
I believe in 40/60 not 50/50.Vigezo vyote nnavyo,, lakin pia Mimi nna vigezo vyangu vp ww uko stable financially? Hlo ndo muhim 50/50
I thank God siombi bwana pesa ya kula .Vigezo vyote nnavyo,, lakin pia Mimi nna vigezo vyangu vp ww uko stable financially? Hlo ndo muhim 50/50
Yukwapi mtag please.K
Kuna mwenzako alipost hapa anatafuta mke
Tafuta huo uzi malizana nae
Mimi sipelekeshi mtu I am humble, trust me.Naona sisi wababe hatutakiwi, unataka mwanaume wa kumpelekesha
[emoji3526]At least Leo nimefikia nusu ya vigezo isipokua umri na financial muscles [emoji16]
mimi team Nyeto, nitoe hapo chapOhooh
Vijana niwachangie kiasi gani?wife ndio huyu hapa
mshamba_hachekwi
Mzee wa kupambania
@Extrovert
@dronedrake
Hao hawaoiOhooh
Vijana niwachangie kiasi gani?wife ndio huyu hapa
mshamba_hachekwi
Mzee wa kupambania
@Extrovert
@dronedrake