Huko kwenu bei ya sukari shingapi kwa kilo?

Kiukweli tangu sukari ipande bei nimenunua sina kumbukumbu Mara ya mwisho lini....hapa nyumbani wakihitaji chai.. Kuna kamgahawa hapa karbu na home kikombe cha chai mia tuu afu sukari nyngi kweli kwnye hiyo chai so tunanunua tu hapo familia yetu ndogo wazazi hawashindi home so inatutosha sana kwa low cost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…