Siku kama kumi sasa kila ikikaribia taarifa ya habari ya saa mbili usiku umeme unakatika na kurudi mpaka taarifa ya habari iishe. Hapa Mwaza ndio madai ya wananchi wengi hawaelewi kwa nini mgao wa umeme ni wakati huo.
Jana niameingia Arusha saa nne usiku kuanzia leganga USA mpaka nilipoishia kwa mrefu kwenda moshono kote kulikuwa hamna umeme, hata sasa huku town umeme hauko stable.
Bulb zinaungua kila muda