tunaweza tukawa na Cv kubwa sana lakini utendaji kazi ukawa hovyo tuu, na tunaweza kuwa na Cv ndogo sana lakini tukawa vizuri katika utendaji kazi. ila kwa kuwa unahitaji Cv cc tupo wawili tumefikia mmoja ana masters mwingine ana bachelor degree au unataka tukuwekee kabisa na documents nzima za CV zetu humu