Fungua kwengine mkuu,nilikuwa na shida ya kurenew card nikiwa dar,nikaenda NBC tawi fulani dar,wakanihudumia vizuri ikabaki wapate taarifa fulani kutoka songea ambako nilifungulia akaunti,
huwezi amini nilifululiza kwenda pale karibia wiki mbili na jibu nikawa napewa hilo hilo kwamba taarifa hazijatumwa richa ya kuwapigia simu.Uzuri yule mama akanipa mbinu nyingine ya kutoa pesa iliyopo kwenye akaunti na toka hapo sijawahi kuwatumia tena NBC.