Huduma kwa Wateja

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,955


Suala la huduma bora kwa wateja ni muhimu katika biashara au sekta yoyote inayotoa huduma. Mchora katuni maarufu Nathan Mpangalaamechora katuni nzuri, ambayo imenikumbusha makala niliyowahi kuandika kuhusu suala hilo, "Ubora wa Huduma, Msingi wa Mafanikio.
 
Ndio zao hao watoa huduma kwa wateja...wengi wao midomo imewatutumuka kama kando la maandazi kutokana na maneno ya jeuri waliyonayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…