Huduma kwa wateja tigo na startimes

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
7,942
Reaction score
9,696
Habari za muda huu?
Ninahitaji msaada wa number za huduma kwa wateja wa hizi kampuni mbili tigo maana ile number yao ya 100 siwezi kuongea nao wananiwekea sauti zilizorekodiwa ikifika mwisho wananiambia niwatumie barua na hawa startimes yaani hata number yao haipatikani ile ya huduma kwa wateja kama kuna mbadala nipatiwe

mpuuzi mpuuzi tu
 
Startimes jaribu hii 0764700800 na 0677700800
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…