Huawei Y9 Prime

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
392
Habari wakuu, nahitaji kununua simu hii Huawei Y9 Prime ila sina uzoefu nayo na sijawahi kuitumia. Katika hii simu nimependa display kubwa, front camera desgn, na ubora wa picha kwa matumizi ya kawaida pamoja na ukubwa wa betri. Kwa anayeifahamu vizuri naomba kufahamu ubora na ubaya wa simu hii pamoja na bei yake kwa hapa Tanzania.
 
Wakishindwa kukusaidia mtafute huyu jamaa ni CEO wa Huawei hana shida na yuko peace sana.

Anaitwa Ren Zhengfei.
 
Bei ni 680k offcn kwao madukani sijajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…