HUAWEI Y3 II LTE

Joined
Aug 24, 2015
Posts
40
Reaction score
13
Wadau duka gani Dar es Salaam naweza pata hyo simu tofauti na inayouza tigo shop na ntaipata kwa Tsh ngap?
 
Wadau duka gani Dar es Salaam naweza pata hyo simu tofauti na inayouza tigo shop na ntaipata kwa Tsh ngap?
kuna duka lipo barabara ya samora, sijalikariri jina, linapatikana ukiwa samora anzia makutano ya samora na morogoro km ukiwa unaelekea mnara wa askari, kabla hujafika jengo la TTCL, tazama maduka yalio upande wa kushoto utakutana hilo duka, lina cm tofauti za huawei za bei uitakayo[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…