tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Jamani anayetaka ata-unlock mwenyewe buku 5 tu kariakoo
kwahiyo kariakoo ipo mikoa yote tz?mbeya,kagera,mara,kigoma,ruvuma,rukwa...!!au biashara yako umelenga soko la dar pekee?mm nipo mbeya na naihitaji hiyo simu au mbeya pia kuna kariakoo?
Tigo mlimani city mpya 170000 nina 140000
Jamani anayetaka ata-unlock mwenyewe buku 5 tu kariakoo