tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Nov 15, 2013 #1 Natafuta HtC disire s..mwenye nayo aweke bei...
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,551 Reaction score 20,260 Nov 16, 2013 #2 nina htc sensation xl. brand new kwene box. 500,000.
Mathenge JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 799 Reaction score 457 Nov 16, 2013 #3 TheChoji said: nina htc sensation xl. brand new kwene box. 500,000. Click to expand... Biashara matangazo choji weka picha ya simu hiyo tafadhari tupo digitale zaid mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TheChoji said: nina htc sensation xl. brand new kwene box. 500,000. Click to expand... Biashara matangazo choji weka picha ya simu hiyo tafadhari tupo digitale zaid mkuu
uyui kwetu JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 1,216 Reaction score 788 Nov 16, 2013 #4 IPO HTC desire s 160k IPO Kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote . 0686 846613
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,551 Reaction score 20,260 Nov 16, 2013 #5 HTC sensation XL. 4.7 inch screen, 8mp camera, 16Gb internal memory. 2 pieces available
N nellyzk Senior Member Joined May 24, 2013 Posts 153 Reaction score 24 Nov 16, 2013 #6 ninayo HTC desire A8181 ni used iko katka hali nzur kama unahitaji 2fanye bness nipe 280,000
Soso J JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 1,976 Reaction score 1,224 Nov 16, 2013 #7 TheChoji said: HTC sensation XL. 4.7 inch screen, 8mp camera, 16Gb internal memory. 2 pieces available View attachment 121539 Click to expand... Bei je?
TheChoji said: HTC sensation XL. 4.7 inch screen, 8mp camera, 16Gb internal memory. 2 pieces available View attachment 121539 Click to expand... Bei je?
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,551 Reaction score 20,260 Nov 16, 2013 #8 bei nimeshataja hapo juu mkuu. 500,000.
Mathenge JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 799 Reaction score 457 Nov 16, 2013 #9 TheChoji said: bei nimeshataja hapo juu mkuu. 500,000. Click to expand... choji hebu niambie una simu hiyo hiyo ya HTC XL JE HTC BUTTERFLY UNAWEZA KUWA NAYO? NA ITASIMAMI KILO NGAPI,KA UNAYO PICHA MUHIMU Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TheChoji said: bei nimeshataja hapo juu mkuu. 500,000. Click to expand... choji hebu niambie una simu hiyo hiyo ya HTC XL JE HTC BUTTERFLY UNAWEZA KUWA NAYO? NA ITASIMAMI KILO NGAPI,KA UNAYO PICHA MUHIMU
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,551 Reaction score 20,260 Nov 16, 2013 #10 kwasasa ninazo hizo tu mkuu. htc butterfly sina na sijajua ni ipi hasa unayotaka maana ziko butterfly tofauti tofauti. ila nimecheki bei zake haitapungua kwenye 800,000 - 1m.
kwasasa ninazo hizo tu mkuu. htc butterfly sina na sijajua ni ipi hasa unayotaka maana ziko butterfly tofauti tofauti. ila nimecheki bei zake haitapungua kwenye 800,000 - 1m.
tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Nov 16, 2013 Thread starter #11 uyui kwetu said: IPO HTC desire s 160k IPO Kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote . 0686 846613 Click to expand... ngoja nikichek bac mkuu
uyui kwetu said: IPO HTC desire s 160k IPO Kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote . 0686 846613 Click to expand... ngoja nikichek bac mkuu
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 866 Reaction score 526 Nov 16, 2013 #12 MKuu htc one s unayo ?? kama huna madukani inatembea mia ngapi??
Abdillahjr JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 694 Reaction score 320 Nov 16, 2013 #13 MWAMUNU said: MKuu htc one s unayo ?? kama huna madukani inatembea mia ngapi?? Click to expand... Mkuu me ninayo,mint used na ipo Saaafi na Lila kitu chake original hadi box,lete 450,000/= tufanye biashara
MWAMUNU said: MKuu htc one s unayo ?? kama huna madukani inatembea mia ngapi?? Click to expand... Mkuu me ninayo,mint used na ipo Saaafi na Lila kitu chake original hadi box,lete 450,000/= tufanye biashara
samy_g Member Joined Nov 11, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Nov 16, 2013 #14 Ipo htc legend n gud condition bei 170k .just pm me
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Nov 16, 2013 #15 HTC ONE XL , 490000/- in very mint condition.... 0688 06 10 10 for all the details u need chek me
tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Nov 17, 2013 Thread starter #16 nataka disire s wakuu
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Nov 22, 2013 #17 Inatumia android version gan?
micqueen Senior Member Joined Nov 21, 2013 Posts 174 Reaction score 75 Nov 22, 2013 #18 Ninayo HTC disire laki mbili
C clinks mitonyo New Member Joined Nov 10, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Nov 22, 2013 #19 HTC desire c ipo in good condition(mpya kabisa) BEI 250 ka unaitaji bzznes nchek 0713585666
tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Nov 23, 2013 Thread starter #20 clinks mitonyo said: HTC desire c ipo in good condition(mpya kabisa) BEI 250 ka unaitaji bzznes nchek 0713585666 Click to expand... Mi nataka disire s mkuu
clinks mitonyo said: HTC desire c ipo in good condition(mpya kabisa) BEI 250 ka unaitaji bzznes nchek 0713585666 Click to expand... Mi nataka disire s mkuu