hahahhaaaa!!mkuu ukimpata mkurya mwenye jina kama hilo mbona atachukua huo mzigo bila discount.
hahahhaaaa!!
miminingeinunua kama ingekuwa inaitwa HTC Mwaipopo.
Ni simu nzuri sana; lakini kwa nini kuibiana hela? HTC Cha Cha Mpya kabisa ni $250 (400,000/=) kwa pesa za Tanzania. Sasa wewe umeitumia ya kwako kwa miezi minne uaniuza 550,000/=? Acha wizi wa ki-CCM!!