G golan Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 175 Reaction score 6 Apr 1, 2015 #1 Wakuu nauza HTC 610 ni mpya na inakuja na kila kitu chake. Bei 470 namba yangu 0713 404014
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 Apr 1, 2015 #2 Mkuu tangazo halijakaa vyema,Kabla ya ku post please soma ulichokiandika kama kinaeleweka,ku post bila kusoma Waweza jikuta umevunja sheria za JF ukapigwa ban isiyo na kosa.
Mkuu tangazo halijakaa vyema,Kabla ya ku post please soma ulichokiandika kama kinaeleweka,ku post bila kusoma Waweza jikuta umevunja sheria za JF ukapigwa ban isiyo na kosa.