HP Envy 14. Inauzwa

Mechatronics

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
35
Reaction score
27
Condition: USED

Specifications:

RAM: 12 GB
PROCESSOR: 2.4 Ghz
CORE: i7
5th GENERATION
HDD: 1 tb
SCREEN SIZE : 14"
INVIDIA GEFORCE: 950M
Ina Light keyboard (keyboard inawaka taa)
Finger print scanner inafanya kazi.
Charge inakaa masaa 10 on audio,
Masaa 4 on video with full brightness, masaa 2 on gaming.

NB: Hakuna game ambayo haichez kwenye hii pc, Haichemki hata ucheze game kiasi gani. ni heavy duty laptop / portable na ni Gaming PC.
Ina Games nyingi kama vile, Fifa 2018, call of duty i, ii, & iii na mengine mengi.

Ina movies nyingi mnoo.

Pia ina Software za engineering kama vile AutoCad, SolidWorks etc

Bei yake ni 1.6 M

Mawasiliano 0717 916063
 
1.6 million copy? Sahihi kabisa 1.6 million laptop....wanakuja wanunuzi nilkuwa najaribu kuwaiga maafande huwa wanapenda kurudia rudia ujumbe
 
Hiyo screen naona kama ina madoa madoa, michubuko!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…