Ni HP Compaq nc 8230,ime'corrupt hard disk tu.
Ram 1GB.
Processor 2.0 GHz
Battery life: 2:30 - 3:00 hours(inategemea na matumizi.
Ni 150k.
Nakupa uhakika kuwa haina tatizo jingine ni hili tu.
Unaruhusiwa kuichukua, na kuipeleka kwa fundi wako kwa ajili ya kubadili hard disk. Utanikabidhi hela yako baada ya kuhakiki iko poa.
Ni 150k. Welcome!