glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,847 Reaction score 4,676 Mar 22, 2018 #21 Fake girlfriend would never allow you to tach her phone without a permit n limited time from her
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,254 Reaction score 54,654 Mar 22, 2018 #22 BLACK MARXIST said: Kitu kikubwa kuhusu fake GF ni kwamba huwa hana hisia na wewe yani no intimacy kabisaaa. Click to expand... Na hii ndio red flag kubwa. Jarib kumfanyia vitu vya upendo hata hajigusi. Ukimwambia unaumwa anachukulia powa tu . Ujue hapo hakuna kitu
BLACK MARXIST said: Kitu kikubwa kuhusu fake GF ni kwamba huwa hana hisia na wewe yani no intimacy kabisaaa. Click to expand... Na hii ndio red flag kubwa. Jarib kumfanyia vitu vya upendo hata hajigusi. Ukimwambia unaumwa anachukulia powa tu . Ujue hapo hakuna kitu