zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Ken Walibora ni marehemu? Nimegoogle kumbe ni kweli keshafariki tena kwa uzembe tu....Waandishi wapo wengi ikiwemo marehemu Ken waliaula walibora(king of Swahili Kenya)
Nawe nikusahihishe kidogo...Nikubali nikusahihishe tu kidogo mleta mada, umahari kwenye uandishi hauhusiani hata kidogo na lugha ya kiingereza au hata kiswahili. 'Case in point' ni uliyemtaja, Ngúgí wa Thiong'o, ambaye huwa anaandika kwa lugha yake asili ya Gíkúyú ila anafahamika kote duniani.
Hoja yako kuu hasa ni ipi?Hello Dear JF Users.
Kenyans are further developed in different sectors.
Let me concentrate in Education especially in Linguistic/Languages
Kenyans speak fluent English contrary to Us Tanzanians who have been struggling a lot to achieve and encounter the language in both criterias speaking and writing..
I have witnessed many authors from Kenya having a collection of books we use in our Tanzanian Syllabus not only books but Dictionaries and other important tools concerning the Language.
Sio Tu Kiingereza bali Wakenya wako vizuri kwenye Kiswahili pia watu wao wanaongea kiswahili kizuri na hata katika uandishi wapo vizuri pia
Nimeshuhudia vitabu vingi ya kiswahili vya Wakenya vikitumika hapa Tanzania.
Hata Kamusi Sanifu pia tumekuwa tukizipata kutoka Kenya..
Nawajua baadhi ya waandishi vitabu mashuhuri akiwemo Ngongi wa Thiongo kutoka Kenya.
View attachment 1567942View attachment 1567943
Naifahamu historia ya uandishi wa Ngúgí. Alipoamua kuandika kwa lugha ya kikuyu walisema kwamba option zake zilikuwa kati ya umaarufu wake na kuandika kwa lugha yake asili. Ila alifanikiwa na anaendelea kufanikiwa kunyakua zote kwa pamoja. Point yangu kuu ndio hiyo.Nawe nikusahihishe kidogo...
Ngugi alianza kuandika kwa Kiingereza na umaarufu wake aliupata huko. Riwaya zake za kwanza kama The River Between na Petals of Blood zilikuwa katika Kiingereza. The Devil on the Cross (kazi yake bora kabisa) na tamthiliya ya Nikiolewa Nikipenda ndiyo aliziandika katika Kikikuyu na baadaye akazitafsiri katika Kiingereza. Baadaye pia hata kazi zake zilizoandikwa katika Kiingereza nadhani alizitafsiri katika Kikikuyu (na Kiswahili) pia.
Ngugi pia siyo mwandishi tu lakini pia umaarufu wake unatokana na harakati zake za kutetea lugha za Kiafrika kama mkakati mama katika ukombozi wa kifikra wa Mwafrika.
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Naifahamu historia ya uandishi wa Ngúgí. Alipoamua kuandika kwa lugha ya kikuyu walisema kwamba option zake zilikuwa kati ya umaarufu wake na kuandika kwa lugha yake asili. Ila alifanikiwa na anaendelea kufanikiwa kunyakua zote kwa pamoja. Point yangu kuu ndio hiyo.