Houses for sale

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89

kama inavyoonekana nyumba ipo madale goba mpakani
ukubwa wa eneo ni robotatu ekari
kuna tofali
limepakana na barabara
nyumba ina:
Master
vyumba vitatu vyoo na bafu vya ndani
jiko na store
sebule kubwa
bei maelewano
contacts 0784821832
 
Ilipo nyumba na barabara ni mita ngapi? Halafu mbona imesogelea kabisa mkondo wa maji? Au macho yangu hayaoni vizuri?
 

nyumba hii pia ipo madale imepakana na shule ya sekondari kisauki(e) madale karibu na barabara ya wazo-madale
sifa za eneo na nyumba
ina master 1
vyumba vi3
choo na bafu ndani
choo cha nje
jiko na store
sebule kubwa
sakafu tiles(marumaru)
fremu 3 za maduka
pipa (sim tank kwa nje)
ukubwa wa kiwanja ni 50x45
kwa wanaohitaji
bei ni maelewano
contacts
0784821832
0714812375
 
eneo halina mkondo wa maji mkuu hiyo ni barabara
 
Ilipo nyumba na barabara ni mita ngapi? Halafu mbona imesogelea kabisa mkondo wa maji? Au macho yangu hayaoni vizuri?

mkuu hakuna sehemu yaonesha mkondo wa maji pengine macho yako yamekuhadaa...
 
eneo halina mkondo wa maji mkuu hiyo ni barabara

ungeweka bei ungekuwa umerahisisha mambo mengi sana kuliko kuweka maneno "bei ni maelewano", lazima kutakuwa na bei ya kuanzia
 
milioni 20 tumalizane? Hiyo ya kwanza
 
mkuu angalia na ukubwa wa eneo lenyewe halafu aina ya nyumba na ukisasa wake milioni20 kwa maeneo kama sehemu ilko nyumba, hata ekari tupu hupati kwa bei hiyo
kama uko makini mwenyewe ananzia mil50
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…