Nyumba yenye vvvyumba vitatu ya kulala,chumba cha kupumzikia na chumba cha chakula inauzwa maeneo ya kimara mwisho,njia ya kwenda bonyokwa,opposite na Tanzania International university. Nyumba ina eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingie.
Bei ni milioni 35 O.N.O.
kwa serious buyers tafadhali piga namba 0755198216 na 0717640315.