weka bei sasa
Umetoa maaandishi mengi yasiyo na msaada kwa mnunuaji, nilitarajia kuona bei, picha, maelezo ya msingi kuhusu umiliki wa hizo heka 2, hebu imarisha hilo tangazo mkuu
A modern house on a two acre plot of land is up for sale at Kongowe along Morogoro road in Pwani region.
It has two bedrooms, two bathrooms, an underground water reservoir and a water tank platform.
The extra area can be used for several types of businesses since the house is situated on the Kongowe- Soga main road.
Suitable for brick making business, animal husbandry, erection of several shop frames etc.
0717107275 serious buyers only
Mzungu gani atakuja kukaa huko,hembu andika kiswahili.
Au ndio unataka uje na Mibei mikubwa kufidia shule yako
Umetoa maaandishi mengi yasiyo na msaada kwa mnunuaji, nilitarajia kuona bei, picha, maelezo ya msingi kuhusu umiliki wa hizo heka 2, hebu imarisha hilo tangazo mkuu
Hahahaha,Asante KakaIngekua Magomeni au Buguruni au Mburahati mpaka kigogo ningeandika kiswahili.
Pole kwa kukukwaza lakini najua umenielewa, tatizo niliposti kwenye web ya kiingereza ss badala ya kutafsiri nilipoandika hapa, nilipesti tu.
Bei yake ni ndogo sana hata wewe kaka spices unaimudu. Nitumie email PM nikutumie picha. Jinunulie country villa ili weekend unakwenda na shemeji kujiliwaza baada ya makelele mengi ya hapo dukani kwako mtaa wa Lindi
Ingekua Magomeni au Buguruni au Mburahati mpaka kigogo ningeandika kiswahili.