House for sale

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
Nyumba inauzwa....!!
Ipo kigamboni block b

ina vyumba 4 (self moja) pia ina sebule kubwa mbili, ina gereji/store....
Pia kiwanja cha nyuma ya nyumba, matenk
ukubwa wa kiwanja ni sq meter 645
pia ni nyumba ya kisasa

last price
bei milioni 130 tu. (130,000,000/=)

contacts: 0713 77 47 46

 

Attachments

  • photo_003.jpg
    12.9 KB · Views: 421
  • photo_002.jpg
    31.4 KB · Views: 456
  • photo_005.jpg
    17.3 KB · Views: 410
  • photo_008.jpg
    37.2 KB · Views: 415
  • photo_009.jpg
    17 KB · Views: 420
mkuu mwenye nyumba yeye kastaafu anataka arudi kwao kijijini bukoba.... ndio anaiuza haraka haraka hivi
 
Hiyo nyumba ya millioni 130 mbona siioni hapo. Hebu weka picha ya muonekano wa nyumba kwa nje, hivyo vipande vipande havionyeshi hali halisi.

Tiba
 
...hujajibu bado swali kwa ile thread nyingine yenye tangazo km hili

...je huko Mikadi hakupo katika mpango wa serikali wa mji mpya?
 
Hiyo nyumba ya millioni 130 mbona siioni hapo. Hebu weka picha ya muonekano wa nyumba kwa nje, hivyo vipande vipande havionyeshi hali halisi.

Tiba
karibu uje uione
 
Nyumba inauzwa haraka haraka na picha umepiga haraka haraka???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…