Ha ha haaa, umenifurahisha sana mkuu Tuko,sijacheka kama nilivyocheka leo siku nyingi.Ndo maana sipendi kutumia touch.Touch screen inaweza kukuumbua. Mi kuna siku nilikuwa namuandikia shem wangu msg nikitaka kumuomba aje hom, badala ya j nikagusa k... msg ikasomeka "naomba uke mara moja".
Niliogopa maana ingekuwa mama mkwe...
Disposal is a right word.... Tujifunze lughaDispose!?
No doubt it is a scrap!
Ndo tunajifunza hivyo mkuu. Hii lugha ya malkia utata mtupu!Disposal is a right word.... Tujifunze lugha
Hapo mbona nimejitahidi sana. Katika sentensi ya meneno kumi huwa naipamba na walau "the" sita.Hicho mbona ni kiingereza sawia tu? Ongezeni misamiati na muendelee kujifunza.
chezea touch wewe sio mchezo..
Thanks for your comment, may Gid bkess you!
mie siyawez hayo macm bana manake kwanza najijua siko soft tach namna hiyo.
Ha ha ha...You made my day, dude!. Kama ni kwa Mama mkwe, hapo utatamani ardhi ipasuke ikumezelee mbali!.Touch screen inaweza kukuumbua. Mi kuna siku nilikuwa namuandikia shem wangu msg nikitaka kumuomba aje hom, badala ya j nikagusa k... msg ikasomeka "naomba uke mara moja".
Niliogopa maana ingekuwa mama mkwe...