Nilikuwa nataka nimnunulie dogo mmoja huko home, amezidi kuomba kodi ya nyumba za kupanga kila mwaka.Sio mchezo Mkuu!
hiyo nyumba million 60 tu
Tena iko njia panda ya Ulaya kabisa, hata wazungu unaweza kuwapangisha kwa kivutio kwamba wakitaka kwenda kwao hawana foleni.Sio mchezo Mkuu!
hiyo nyumba million 60 tu
Mchukulie hiyo mkuu!Nilikuwa nataka nimnunulie dogo mmoja huko home, amezidi kuomba kodi ya nyumba za kupanga kila mwaka.
Magu akiendeleza uzi huu kidogo tu, dogo anaweza kupata nyumba mjini, ashindwe mwenyewe kuchakalika vingine.
Maana mtu akishamaliza mpambano wa mahali pakukaa kwingine mteremko.
Kati ya maeneo yasiyo na migogoro ya ardhi kati ya watu na watu au wananchi na serikali basi KITUNDA ni moja wapo.Mchukulie hiyo mkuu!
kwa dar hiyo bei Ni nzuri ila ya kuwa makini na maeneo isije kuwa lukuvi anainyapia nyapia
Room for negotiations is available!Nilikuwa nataka nimnunulie dogo mmoja huko home, amezidi kuomba kodi ya nyumba za kupanga kila mwaka.
Magu akiendeleza uzi huu kidogo tu, dogo anaweza kupata nyumba mjini, ashindwe mwenyewe kuchakalika vingine.
Maana mtu akishamaliza mpambano wa mahali pakukaa kwingine mteremko.
Sidhani kama ingeongeza au kupunguza jambo mkuu!Ndio Nyumba ya kwanza duniani kuiona ina sehemu za nje tu alafu ndani hakuna.